
Habari RFI-Ki
Kenya: Yaadimisha miaka 63 ya uhuru wake
Taifa la Kenya linaadhimisha miaka 63 ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania uhuru wa taifa hilo Tunakuuliza ni njia ipi sahihi ya kuwakumbuka wote waliopigania uhuru barani Afrika ? Skiza makala.


news
Hosted by RFI Kiswahili · news · SW
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Required Pod Score for this podcast. PitchCentric checks your profile against host openness, topical fit, and audience signals before you generate a pitch.
Contact path
Verified email
Booking probability
31%
Guest openness
Selective
Sign up to generate a grounded pitch for Habari RFI-Ki.
Signup to Generate a PitchMakala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Habari RFI-Ki is hosted by RFI Kiswahili. The show has published 24 episodes to date.
Recent episodes include "Kenya: Yaadimisha miaka 63 ya uhuru wake" (20 October 2026, 10 minutes), "Africa: Umaskini unatatiza bara Africa" (20 October 2026, 9 minutes), and "Aliyekuwa rais wa DRC Joseph Kabila aunda chama kipya na waasi wa M23" (15 October 2026, 10 minutes).
Habari RFI-Ki publishes roughly a few times a week, with episodes averaging 10 minutes across 24 episodes.
Booking probability for Habari RFI-Ki is 31%, and the host is rated Selective on guests. Habari RFI-Ki requires a Pod Score of 80 or higher. Habari RFI-Ki's contact route on record: verified email.
RFI Kiswahili hosts Habari RFI-Ki, a news podcast with 24 episodes published.
Our AI reads these to draft pitches. Use them as grounding for a pitch that cites a real guest and a specific topic.

Habari RFI-Ki
Taifa la Kenya linaadhimisha miaka 63 ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania uhuru wa taifa hilo Tunakuuliza ni njia ipi sahihi ya kuwakumbuka wote waliopigania uhuru barani Afrika ? Skiza makala.

Habari RFI-Ki
Oktoba 17 dunia huadimisha siku ya kumaliza umaskini kwa wote. Bara Africa bado umaskini ni donda sugu, hapa mskilizaji anatoa maoni yake kuhusu swala hilo.





Licha ya hatua zilizopigwa, walimu kwenye nchi nyingi za Afrika wanalipwa mishahara midogo na wanafanya kazi kwenye mazingira magumu.Tunakuuliza je, walimu wanathaminiwa vya kutosha katika jamii yetu? Nchini mwako hali...

Makala haya yameangazia mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya, kitakachojengwa na Bilionea wa Afrika, Aliko Dangote, kiwanda hiki kikitarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitatu na...

Wiki hii visa vya wanawake kudhulumiwa na kuuwawa katika baadhi ya mataifa ya Afrika vimekuwa vikiongezeka, matukio ya karibuni ni kupatikana kwa miili zaidi ya 11 ya wanawake waliouawa nchini Afrika Kusini. Mashirika...


Idadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka

Idadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka ,IEBC.


Habari RFI-Ki
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakuja nafasi kuchangia mada yoyote kwenye kipindi cha Habari Rafiki.

Habari RFI-Ki
Kenya imeteuliwa kuandaa mashinda ya dunia ya riadha. Skiza maoni ya mskilizaji.

Upinzani nchini DRC wapinga mpango wa serikali kurekebisha katiba Shabarikiliza maoni ya mskilizaji .

Habari RFI-Ki
Raia wa Burundi wanaofanya baishara ndogondogo nchini Kenya, wamendelea kuondoka nchini humo kutokana tangazo la rais William Ruto kuwataka wageni kusajili biashara zao. Skiza maoni ya mskilizaji.

Habari RFI-Ki
Darubini yetu inalenga kanda ya Africa Masharaiki ambapo watalaam wa utabiri wa hali ya hewa wanaonya kuwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, zitashuhudia EL Nino kati ya mwezi Oktoba hadi Desemba, ambako mvua kubwa...

Habari RFI-Ki
Mkuu wa ofisi ya tume ya haki za binadamu ya umoja wa Mataifa, Volker Turk, hapo jana ameonya kuwa akili unde inaweza kuwa tishio kwa binadam.

Recent guests on Habari RFI-Ki. Study who booked and why before you pitch.
Based on semantic analysis of episode topics and host coverage, this podcast is a strong guest fit for executives in:
Industry fit is computed by PitchCentric using vector embeddings of the podcast's episode catalog.
Shows with the most semantically similar episode content. Pitch one, pitch all; producers cluster.
Is this podcast yours and you'd like to remove or correct details? Request removal or email privacy@pitchcentric.com.
Questions about the free trial? See the pricing FAQ