
Wimbi la Siasa
Uganda: Mazungumzo kuhusu hatima ya Kizza Besigye
Waziri wa masuala ya Katiba nchini Uganda Norbert Mao, ametangaza kuwepo kwa mazungumzo ili kupata ufumbuzi wa kuendelea kuzuiwa kwa mwanasiasa mkongwe wa upinzani Kizza Besigye, anayekabiliwa na mashtaka ya uhaini...



