
Afrika Ya Mashariki
Mauaji katika ndoa na migogoro ya kimahusiano Afrika Mashariki
Hii leo tunaangazia mauaji yanayotokana na migogoro ya kimahusiano, tukichunguza takwimu zilizopo, na sababu zinazochangia ukatili huo.


Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.
Required Pod Score for this podcast. PitchCentric checks your profile against host openness, topical fit, and audience signals before you generate a pitch.
Contact path
Verified email
Booking probability
20%
Guest openness
Selective
Sign up to generate a grounded pitch for Afrika Ya Mashariki.
Signup to Generate a PitchKwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.
Afrika Ya Mashariki is hosted by RFI Kiswahili. The show has published 24 episodes to date.
Recent episodes include "Mauaji katika ndoa na migogoro ya kimahusiano Afrika Mashariki" (30 October 2026, 10 minutes), "Teknolojia ya anga na matumaini mapya kwa jamii za bonde la Ziwa Victoria" (24 October 2026, 10 minutes), and "Urembo kwa njia ya upasuaji" (17 October 2026, 10 minutes).
Afrika Ya Mashariki publishes roughly weekly, with episodes averaging 10 minutes across 24 episodes.
Booking probability for Afrika Ya Mashariki is 20%, and the host is rated Selective on guests. Afrika Ya Mashariki requires a Pod Score of 80 or higher. Afrika Ya Mashariki's contact route on record: verified email.
RFI Kiswahili hosts Afrika Ya Mashariki, a news podcast with 24 episodes published.
Our AI reads these to draft pitches. Use them as grounding for a pitch that cites a real guest and a specific topic.

Afrika Ya Mashariki
Hii leo tunaangazia mauaji yanayotokana na migogoro ya kimahusiano, tukichunguza takwimu zilizopo, na sababu zinazochangia ukatili huo.

Afrika Ya Mashariki
Katika mwambao wa Ziwa Victoria, mamilioni ya wananchi wanategemea kilimo, uvuvi na ufugaji wa samaki kwa ajili ya chakula na kipato. Hata hivyo, mabadiliko ya tabianchi, kutotabirika kwa hali ya hewa na changamoto za...

Afrika Ya Mashariki
Karibu katika makala ya Afrika mashariki inayochunguza uhusiano kati ya urembo, kujiamini na shinikizo la kijamii. Tutaangazia simulizi za mwanawake aliyechagua kufanyiwa upasuaji wa urembo, pamoja na mitazamo ya...

Afrika Ya Mashariki
Wiki hii tumeangazia namna nishati safi na umeme wa uhakika inavyoibadilisha Afrika. Afrika Mashariki imeendelea kushuhudia ongezeko kubwa la uwekezaji katika sekta ya nishati. Tanzania imeongeza uwezo wake wa...

Afrika Ya Mashariki
Tunaangazia siasa za Kenya na nafasi ya vijana katika hatua za awali za maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Je, vijana wanaingia kwenye uwanja wa siasa kama wapiga kura tu, au wanataka kuwa wabeba jahazi la...

Afrika Ya Mashariki
Baada ya kusubiri kwa zaidi ya miaka 15 tangu kupata uhuru mwaka 2011, Sudan Kusini imepanga kufanya uchaguzi wake wa kwanza wa kitaifa tarehe 22 Desemba 2026. Je, uchaguzi huo utafungua ukurasa mpya wa demokrasia au...

Afrika Ya Mashariki
Katika kipindi cha miaka ya karibuni, viongozi wa upinzani katika nchi mbalimbali za Afrika Mashariki wameendelea kujikuta mahakamani wakikabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwemo uhaini. katika Makala ya Afrika Mashariki...

Kenya imeanza safari ya kutafuta dira mpya ya maendeleo baada ya Ruwaza ya Taifa ya Maendeleo 2030 kuelekea kufikia ukomo wake. Safari hii inakuja wakati Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC, ikiwa na dira yake ya pamoja ya...

Afrika Ya Mashariki
Tunaangazia mjadala kuhusu mustakabali wa maonesho ya nanenane nchini Tanzania. Je yaendelee kuwa jukwaa la teknolojia za kilimo pekee au yafungue milango kwa biashara zote?

Afrika Ya Mashariki
Katika Makala ya wiki hii, tunaangazia safari ya Tohara ya kitabibu kutoka mila hadi afya ya umma.

Afrika Ya Mashariki
Katika Makala ya Afrika Mashariki, tunaangazia mchakato wa mazungumzo ya kitaifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, nafasi ya viongozi wa dini na matarajio ya wadau wa kisiasa katika kutafuta amani na maridhiano...

Afrika Ya Mashariki
Baada ya mvutano wa kisiasa uliojitokeza mara baada ya uchaguzi mkuu uliopita huko Zanzibar, sasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo vimesaini makubaliano mapya ya maridhiano. Lakini je, makubaliano hayo...

Afrika Ya Mashariki
Tunaangazia hali ya Ziwa Victoria, changamoto zinazolikabili pamoja na juhudi za kikanda zinazofanyika kulinusuru ziwa hilo ambalo ni mhimili wa uchumi na maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki. Ziwa Victoria, ambalo ni...

Makala ya Afrika Mashariki, ikiangazia juu ya ripoti ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa October 29, 2025 nchini Tanzania.

Afrika Ya Mashariki
April 7, 1994 ni siku ya ambayo historia ya Rwanda ilianadikwa kwa wino mwekundu kumaanisha hatari, kifo cha Rais zamani wa Taifa hilo Juvenal Habyarimana aliuawa akitokea nchini Tanzania katika mchakato wa kusaka amani...
Based on semantic analysis of episode topics and host coverage, this podcast is a strong guest fit for executives in:
Industry fit is computed by PitchCentric using vector embeddings of the podcast's episode catalog.
Shows with the most semantically similar episode content. Pitch one, pitch all; producers cluster.
Is this podcast yours and you'd like to remove or correct details? Request removal or email privacy@pitchcentric.com.
Questions about the free trial? See the pricing FAQ