
Episode #5
Nani mwenye Jukumu la Malezi Ya Mtoto katika Familia?
<p>Katika familia nyingi, jukumu la malezi bado linaonekana kuwa la mama pekee. Lakini je, huo ndio ukweli? Baba ana nafasi gani katika malezi ya mtoto, na nini hutokea pale jukumu hilo linapoachiwa mzazi mmoja?</p><p>Katika kipindi hiki tunajadili kwa kina kwa nini ushiriki wa baba ni muhimu tangu hatua za mwanzo za maisha ya mtoto, athari za kumwachia mama mzigo wote wa malezi, na wajibu wa wazazi kwa mujibu wa sheria na jamii. Tunavunja dhana potofu zinazowafanya baadhi ya wanaume kujiona kuwa jukumu lao linaishia kutafuta mahitaji ya kifedha pekee.</p><p>Jiunge nasi katika mjadala huu...






