
Ujana ni Kitendawili, Tengua! - MSASA NA ALLAN LUCKY
Send us Fan Mail Baada ya kuzungumzia pesa kwenye Episode 1 ya Season 2, sasa tumehamia kwa watafutaji wakuu wa hiyo pesa - vijana. Wanatafuta mkwanja. Wanatafuta kutoka. Wanatafuta kujikwamua. Lakini kwenye safari hii y






























