
Dakika 10 Za Kocha
#DZK075; Mkakati Huu Wa Rockefeller Utakupa Matokeo Makubwa Kwenye Jambo Lolote Unalofanya.
Rockefeller Na Mkakati Uliompa Matokeo Makubwa. Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Rafiki, Hakuna mtu anayepata mafanikio kwa kubahatisha. Kila unayemwona amepiga hatua kubwa, kuna vitu vya tofauti amefanya. Na uzuri, vitu hivyo huwa wazi na vinavyowezekana kwa wengine. John D. Rockefeller, aliyekuwa mtu tajiri zaidi duniani kwa enzi zake, Alikuwa na mkakati rahisi na uhakika wa kumpa matokeo mazuri. Aliutumia kupata ajira yake ya kwanza, Akautumia tena kupata mkopo wa kwanza, Na akautumia kupata wateja wa mwanzo kwenye biashara. Ni mkakati rahisi sana na wenye matokeo ya uhakika ambao hata wewe unaweza kuufanyia kazi. Kwenye #BaruaYaKocha nimekupa mkakati huo na jinsi ya kuufanyia kazi ili ufanikiwe. Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills.... Unachokosa ni mkakati sahihi, kuwa nao upate matokeo makubwa. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support .






