
Episode #1
JUMA AYO: "Nimetishiwa BASTOLA Kisa SIMBA na YANGA, Wachambuzi ni MACHAWA!" (50 MILES EP. 001)
<p>Karibu 50 MILLES, sehemu ya mazungumzo ya kweli na ya wazi kuhusu soka la Bongo, maisha binafsi ya mastaa, mahusiano, changamoto za tasnia ya habari, na ukweli usiofichika. Katika episode hii, Blessed Tillah anazungumza na Juma Ayo (Mtangazaji Tajika) kufichua siri za "machawa" kwenye soka, kutishiwa maisha kwa bastola, na kisa cha kusisimua cha kufumania. Jiunge nasi kwa vipindi vipya vyenye mijadala ya moto, kufichua ukweli, na kuburudisha.</p>

