
EP #070: Fear Is Quietly Destroying Your Trading
Most traders wanafikiri fear ndiyo enemy wao mkubwa kwenye trading. Lakini ukweli ni kwamba, Fear si tatizo. Fear ni normal. Kila trader ana fear. Beginner ana fear. Profitable trader ana fear. Fund manager ana fear. Tha








