
LU FM Kenya Gospel Radio.
Karibu LU FM Kenya Gospel Radio. Hii ni redio ya Kikristo ya mtandaoni inayotangaza Injili ya Yesu Kristo kupitia nyimbo za gospel, mahubiri, maombi, ushauri wa ndoa na familia, pamoja na mahojiano ya kujenga imani.
Show notes







