
Wako Wapi Waliomaliza Chuo Kabla Yako? | Me & The Graduates Podcast 🎓
Siku ya graduation inajaa vigelegele na matumaini, lakini sherehe ikiisha, uhalisia wa mtaani huanza. Katika kipindi hiki cha Me & The Graduates Podcast, tunajiuliza swali moja gumu: Wako wapi wale ma-senior waliomaliza























